KUJITAMBUA NI HATUA YA KWANZA YA MAENDELEO YA AKILI, MWILI NA NAFSI

By Maureen Minanago Kujitambua ni uwezo wa mtu kuelewa hali zake za ndani; fikra, hisia, mihemko, maadili na mienendo. Hili ni jambo la msingi ambalo linamuwezesha mtu kuishi kwa makusudi, kufanya maamuzi sahihi, na kujenga maisha yenye mizani kati ya akili, mwili, na nafsi. 1. Kiakili: Kujitambua huchochea fikra chanya na kuongeza uwezo wa mtu

KUJITAMBUA NI HATUA YA KWANZA YA MAENDELEO YA AKILI, MWILI NA NAFSI Read Post »

UONEVU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

By Sylvia Mtenga Uonevu kwenye mitandao ya kijamii ni tatizo linalozidi kuongezeka, ambapo watu hutumia majukwaa ya kidijitali kama vile Facebook, WhatsApp, Instagram, na Twitter kudhalilisha, kutishia, au kunyanyasa wengine. Uonevu huu unaweza kuwa wa maneno, picha, video, au hata kueneza taarifa za uongo kuhusu mtu. SABABU ZINAZOCHANGIA UONEVU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII 1..Kutokujulikana (Anonymity)

UONEVU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII Read Post »

HAKI ZA MTOTO NA MALEZI KISHERIA

By Neema Minanago Wazazi wanawajibu mkubwa katika kulinda haki za mtoto.Watoto wana haki mbalimbali za msingi katika makuzi na maendeleo yao kwa mujibu wa sheria za nchi na haki za kimataifa kama vile Mkataba wa Haki za Mtoto wa Umoja wa Mataifa (UNCRC). Haki hizo zimewekwa katika makundi makuu manne ambayo yamebeka haki nyingine zote.

HAKI ZA MTOTO NA MALEZI KISHERIA Read Post »

FANYA HIVI KUONDOA SUMU MWILINI

By Sylvia Mtenga Wataalamu wa maswala ya lishe wanapendekeza kua, Kuondoa sumu mwilini (detox) kupitia lishe na mazoezi ni njia bora ya kuboresha afya, kuongeza nishati, na kuimarisha kinga ya mwili. Hapa kuna mbinu muhimu walizozipendekeza, za asili zinazoweza kusaidia mwili wako kuondoa sumu kwa ufanisi: 1. Lishe ya Asili kwa Detox a) Kula Vyakula

FANYA HIVI KUONDOA SUMU MWILINI Read Post »

SIKU YA FAMILIA DUNIANI 15/05/2025

KAULI MBIU “MTOTO NI MALEZI: MSINGI WA FAMILIA BORA KWA TAIFA IMARA” Tujifunze na Kufurahia Maarifa Mapya kwa Makala hii fupi ya Familia na Malezi By Neema Minanago Maana ya Familia: Familia ni kikundi cha watu wanaohusiana kwa damu, ndoa, au kuasili, wanaoishi pamoja na kushirikiana majukumu ya kila siku kama vile malezi ya watoto,

SIKU YA FAMILIA DUNIANI 15/05/2025 Read Post »

UFAHAMU MMEA WA MCHAICHAI; FAIDA ZAKE KIMWILI NA KWA MAZINGIRA

By Maureen Minanago UFAHAMU MMEA WA MCHAICHAI; FAIDA ZAKE KIMWILI NA KWA MAZINGIRA MCHAICHAI NI SULUHISHO LA ASILI Katika ulimwengu wa mimea ya asili yenye manufaa kwa afya na mazingira, mchaichai (lemongrass) ni miongoni mwa mimea inayojulikana kwa harufu yake ya kupendeza na matumizi mbalimbali ya kiafya na kijamii. Asili ya mchaichai ni maeneo ya

UFAHAMU MMEA WA MCHAICHAI; FAIDA ZAKE KIMWILI NA KWA MAZINGIRA Read Post »

Faida za Kukaa Katika Mazingira Safi

By Sylvia Mtenga FAIDA ZA KUKAA KATIKA MAZINGIRA SAFI Kukaa na mazingira safi kuna faida nyingi kwa afya na ustawi wa mwili. Hapa ni baadhi ya faida kuu: 1. Kuzuia Magonjwa Mazingira safi hupunguza uwezekano wa maambukizi ya magonjwa kama vile kipindupindu, malaria, homa ya matumbo, na mafua. Uchafu huvutia wadudu na vimelea vinavyosababisha magonjwa,

Faida za Kukaa Katika Mazingira Safi Read Post »

Mimea Mapambo Katika Maeneo ya Kazi – Njia ya Kuongeza Ubunifu na Ufanisi

By Sylvia Mtenga Katika ulimwengu wa kisasa, ambapo wafanyakazi hutumia muda mwingi katika ofisi na maeneo mengine ya kazi, mazingira mazuri na yenye ustawi ni muhimu kwa ufanisi wa kazi. Moja ya njia bora za kuboresha mazingira ya kazi ni kwa kuingiza mimea ya mapambo. Mbali na kuongeza uzuri wa ofisi, mimea hii ina faida

Mimea Mapambo Katika Maeneo ya Kazi – Njia ya Kuongeza Ubunifu na Ufanisi Read Post »

Scroll to Top