JINSI MITANDAO YA KIJAMII INAVYOWEZA KUATHIRI AFYA YA AKILI
By Slyvia Mtenga Mitandao ya kijamii imeleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano, mahusiano, na maisha ya kila siku kwa watu wengi ulimwenguni. Ingawa imeleta manufaa makubwa kama kuunganisha watu, kushiriki habari kwa urahisi, na kutoa majukwaa ya kujifunza na kujiburudisha, pia imezua changamoto zinazohusiana na afya ya akili. Tafiti nyingi zimeonyesha kuwa kutumia mitandao ya kijamii […]
JINSI MITANDAO YA KIJAMII INAVYOWEZA KUATHIRI AFYA YA AKILI Read Post »