Njia Bora ya Kujenga Umoja na Mshikamano.
By James Manjeche Tabia ya kusaidiana miongoni mwa watu, ni mojawapo ya maadili muhimu katika jamii. Inapotokea hali ya mtu kuwa na shida, msaada kutoka kwa mwingine ni jambo linalosaidia kumuinua na kumrudisha katika hali nzuri. Hata hivyo, kusaidiana siyo tu kumsaidia mtu katika shida, bali pia ni suala la kujenga uhusiano wa karibu na […]
Njia Bora ya Kujenga Umoja na Mshikamano. Read Post »