UBABE WA KIBOKO NI MTONI TU
By Nasibu Mahinya Kiboko ni mnyama mla mimea mwenye makazi yake majini na nchi kavu pia. Wagiriki walimpa jina “Hippopotamus” ikiwa na maana ya farasi wa mtoni. Kiboko huweka himaya yake majini na shughuli za kuzaliana hufanyika majini , japo jua linapozama hutoka kwenda nchi kavu kwa ajili kula nyasi na huweza kula hadi kilo […]
UBABE WA KIBOKO NI MTONI TU Read Post »