Mind

Mind – MBS Trinity Care

Siri za mti wa ubuyu mbstrinitycare8

Kwanini penye mbuyu pana uhai?

By Nasibu Mahinya Mbuyu ni mmea unaobeba kumbukumbu nyingi sana za maisha yetu ya utotoni. Shule ya msingi niliyosoma ilikuwa na mbuyu katikati ya eneo ambalo limezungukwa na majengo ya madarasa. Tukishaangalia filamu za kutisha na tukishaanza kusimuliana hadithi hizo kuhusu mti huu, hatimaye nikatokea kuuogopa na kuanza kupita mbali na nao. Wengi walikuwa wakihadithiana […]

Kwanini penye mbuyu pana uhai? Read Post »

UNYWAJI WA POMBE KUPINDUKIA

By Maureen Minanago Pombe imekuwa sehemu ya burudani na sehemu ya maisha ya watu wengi ulimwenguni. Hata hivyo, matumizi yake kupita kiasi yanaweza kuwa na athari mbaya kubwa kwa afya ya akili, ustawi wa kiroho, na viungo vya mwili. NAMNA UNYWAJI POMBE WA KUPINDUKIA UNAVYOWEZA KUDHOOFISHA USTAWI WA AKILI NA NAFSI PAMOJA NA KUATHIRI VIUNGO

UNYWAJI WA POMBE KUPINDUKIA Read Post »

ONGEZEKO LA WATOTO WA MITAANI  

By Jamal H. Maherea Nanukuhu kutoka tovuti ya Jamii Forum 2022, “Watoto wa mitaani, ni watoto ambao wanaishi mitaani, nje ya makazi ya kawaida. Kempe Ronald Hope, (2005) anatoa maana ya Mtoto wa Mitaani kama ifuatavyo: “Mtoto wa Mtaani, ni msichana au mvulana ambaye hajafikia umri wa utu uzima, ambapo mtaa (ikijumuisha makazi yasiyokaliwa, maeneo

ONGEZEKO LA WATOTO WA MITAANI   Read Post »

KUJIFUNZA KUACHILIA: NJIA YA KUJIPONYA AKILI NA KUMBUKUMBU MBAYA

By Sylvia Mtenga Katika safari ya maisha, mara nyingi tunakutana na changamoto, maumivu, na kumbukumbu ambazo zinaweza kutuzuia kuishi kwa amani na furaha. Kujifunza kuachilia ni mojawapo ya njia muhimu za kujiponya kiakili na kimaisha. Ni mchakato wa kuuachia mzigo wa hisia hasi, majuto, na hali za zamani ambazo zinaweza kuwa zinatuzuia kufikia hali ya

KUJIFUNZA KUACHILIA: NJIA YA KUJIPONYA AKILI NA KUMBUKUMBU MBAYA Read Post »

KITOVU CHA UTALII TANZANIA

By Jamal H. Maherea Arusha ni mojawapo ya maeneo ya kipekee barani Afrika ambayo yamebarikiwa kuwa na vivutio vya kipekee vya utalii, ikiwemo hifadhi za wanyamapori, milima yenye mandhari nzuri, na tamaduni tajiri za wenyeji. Arusha ni mji unaounganisha urithi wa asili na utajiri wa utamaduni, na hivyo kuifanya kuwa kivutio muhimu kwa wale wanaotafuta

KITOVU CHA UTALII TANZANIA Read Post »

FAHAMU MAANA, CHANZO, FAIDA NA HASARA ZA UTANDAWAZI KWA KIJANA KATIKA SHUGHULI ZAKE

By Debora K. Mwangosi Maana ya utandawazi. Utandawazi ni neno linalorejelea mchakato wa kuunganishwa kwa mataifa, tamaduni, na uchumi kupitia mtandao wa teknolojia, biashara, na mawasiliano. Ni hali ambapo mipaka ya kimataifa inakuwa dhaifu ambapo watu, bidhaa, na mawazo yanaweza kusafiri kwa urahisi zaidi kati ya nchi tofauti. Utandawazi unahusishwa na ongezeko la biashara ya

FAHAMU MAANA, CHANZO, FAIDA NA HASARA ZA UTANDAWAZI KWA KIJANA KATIKA SHUGHULI ZAKE Read Post »

Sifa 10 za mbuni zinazomtofautisha na ndege wengine

By Nasibu Mahinya Ukimshangaa mbuni asiyepaa utamstaajabu ngwini (pengwini); samaki asiyepaa mwenye uwezo wa kuogelea. Kawaida ukimkuta mbuni ndani ya hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro anavyovimba akiwa amejichanganya na pundamilia na nyumbu, wakitafuta malisho unaweza kusahau kuwa huyu ni ndege. Watu wengi wamekuwa wakimuona mbuni kama ndege wa kipekee na wa tofauti basi kama unaisoma

Sifa 10 za mbuni zinazomtofautisha na ndege wengine Read Post »

Fisi: Mnyama wa ajabu kuliko tunavyodhani

By Nasibu Mahinya Inajulikana kwamba fisi akishika windo lake haachi kitu, anakula kuanzia kichwa hadi kwato. Dah! Hongera zake kwa kweli, maana mimi kila nikiwaza ng’ombe anapochinjwa kuna viungo vyake vingi huwa havifiki mezani. Fisi amethibiti upotevu usiyo na tija, wazungu wanaita ‘total diet.’ Hata asiyemjua fisi atakuambia jinsi mnyama huyo alivyopewa sifa ya kula kwenye

Fisi: Mnyama wa ajabu kuliko tunavyodhani Read Post »

MANIFESTATION ama UDHIHIRISHO ni nini?

By Sylvia Mtenga Katika falsafa za kisasa za kiroho na maendeleo binafsi, manifestation ama udhihirisho unahusishwa  na nadharia kwamba mawazo yetu yana nguvu ya kuathiri hali halisi. Hii inamaanisha kwamba kile tunachokifikiria na kukihisi mara nyingi kinaweza kugeuka kuwa uhalisia wetu. Ikiwa unalenga kwenye fikra chanya na kujenga picha nzuri kuhusu maisha yako, unaweza kuvutia

MANIFESTATION ama UDHIHIRISHO ni nini? Read Post »

Scroll to Top