Mind

Mind – MBS Trinity Care

Papa: Samaki Bubu Asiyelala

By Nasibu Mahinya Hakuna kiumbe anaogopeka majini kama Papa! Anapotajwa papa, vitu viwili huja akilini mwa wengi; maji na damu. Binafsi nilikuwa mmoja kati ya watu wanaoamini kwamba binadamu akikutana na papa basi amekwisha!  Cha kushangaza zaidi ni kwamba hakuna uthibitisho kuwa papa huwinda binadamu lakini humshambulia pale anapoingilia himaya yake; papa hudata na kuchanganyikiwa. […]

Papa: Samaki Bubu Asiyelala Read Post »

Hofu ya kuzungumza

By Maureen C. Minanago Hofu ya mwanadamu hutofautiana kwa ukuu. Lakini sote huogopa kwa namna fulani. Hata mwenye nguvu wanamaeneo yao ya unyonge. Tuogope yote lakini tusiogope kusema ukweli inapobidi, na si ukweli tu ila kuzungumza kwa ujumla. Wapo wenye mawazo mazuri sana ambayo yasipokaliwa kimya yanaweza kuleta athari kubwa tu kwa mtu mmoja au jamii nzima.Yamkini ukambadilisha mtu /

Hofu ya kuzungumza Read Post »

Feasting to Fishing

By Justin Mwita David “A Mindset transformation journey for African youth, shifting from Dependency to Self-Sufficiency” Africa has the youngest population in the world, with over 400 million young people aged between 15 to 35 years. This demographic presents both challenges and opportunities.  The majority of African youth are caught in a dilemma that is both complex and

Feasting to Fishing Read Post »

AFYA ni nini?

By Maureen C. Minanago Afya ni hali ya kutokuwa na ugonjwa au kidonda. Afya ni hali ya kuwa na amani ya roho. Afya ni ubora wa akili, mwili na nafsi. Afya hutegemea vitu hivi vitatu ili kuwa hai na salama: Akili, Mwili, Nafsi. Akili ni utashi tuliopewa na Mwenyezi Mungu katika kung’amua mambo ulimwenguni. Akili hujumuisha

AFYA ni nini? Read Post »

Onyesha heshima hata kwa watu wasiostahili; sio kwa muonekano wa tabia zao ila muonekano wa yako.

By Maureen C. Minanago Maneno ya Dave Willis yanakumbushia utoaji wa heshima. Waswahili wanasema “heshima ni kitu cha bure” yaani huhitaji kulipia wala kugharamia chochote kuheshimu ama kuheshimiwa ila kujiheshimu na kutoa heshima hiyo kwa wengine wote hata kama hawastahili heshima yako. Inakuwaje mtu hastahili heshima yako? Ni kwa sababu haonyeshi upendo kwako kama binadamu,

Onyesha heshima hata kwa watu wasiostahili; sio kwa muonekano wa tabia zao ila muonekano wa yako. Read Post »

Scroll to Top