View Categories

Community Services

2 Comm.

MAFANIKIO YA KAMPENI YA TUMAINI LA RIZIKI

Last Updated: 14 November 2024

By Jamal Maherea UTANGULIZI: Kampeni ya kumsaidia mtoto riziki, mwenye ulemavu wa viungo, ilianzishwa tarehe 14 Oktoba 2024 kwa lengo la kumuwezesha kupata mahitaji yake muhimu. Kampeni hii iliendeshwa kwa ushirikiano wadau walioguswa na changamoto anazokabiliana nazo mtoto riziki ikiwa ni pamoja na watu binafsi pamoja na kampuni ya Yammy Yami diapers. MAFANIKIO YA KAMPENI:...

MATUMAINI YA KESHO ILIYO BORA

Last Updated: 7 March 2025

Riziki Saidi Majaliwa alizaliwa mwaka 2011 katika hospitali ya AMANA, MNAZI MMOJA, UNGUJA,  (Tanzania visiwani). Kutoka siku ya kwanza ya maisha yake, safari ya Riziki haikuwa rahisi. Alizaliwa akiwa na ulemavu wa viungo, hali iliyofanya maisha yake kuwa ya kipekee tofauti na watoto wengine wa umri wake. Riziki hakuweza kusimama au kutembea kama kawaida, hali...