{"id":2557,"date":"2024-10-08T13:08:03","date_gmt":"2024-10-08T10:08:03","guid":{"rendered":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/?p=2557"},"modified":"2024-11-06T15:55:26","modified_gmt":"2024-11-06T12:55:26","slug":"sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/en_gb\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/","title":{"rendered":"Sifa 10 za mbuni zinazomtofautisha na ndege wengine"},"content":{"rendered":"\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>By Nasibu Mahinya<\/strong><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Ukimshangaa mbuni asiyepaa utamstaajabu ngwini (pengwini); samaki asiyepaa mwenye uwezo wa kuogelea. Kawaida ukimkuta mbuni ndani ya hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro anavyovimba akiwa amejichanganya na pundamilia na nyumbu, wakitafuta malisho unaweza kusahau kuwa huyu ni ndege. Watu wengi wamekuwa wakimuona mbuni kama ndege wa kipekee na wa tofauti basi kama unaisoma hii makala utaweza kuujua utofauti kati ya mbuni na ndege wengine kupitia sifa zake 10. Twenzetu!<\/p>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image aligncenter size-large is-resized\"><img fetchpriority=\"high\" decoding=\"async\" width=\"1024\" height=\"557\" src=\"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-pixabay-60692-1024x557.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-2558\" style=\"width:504px;height:auto\" srcset=\"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-pixabay-60692-1024x557.jpg 1024w, https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-pixabay-60692-300x163.jpg 300w, https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-pixabay-60692-768x417.jpg 768w, https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-pixabay-60692-1536x835.jpg 1536w, https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-pixabay-60692-2048x1113.jpg 2048w\" sizes=\"(max-width: 1024px) 100vw, 1024px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>1. Muonekano<\/strong><\/h2>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Mbuni ndiyo ndege mrefu, mkubwa na mzito zaidi duniani. Ni mnyama mrefu kuliko wanyama wengine duniani.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>2. Mfumo wa mmeng\u2019enyo wa chakula<\/strong><strong><\/strong><\/h2>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Mbuni ana matumbo matatu na ni ndege pekee ambaye haja zake ndogo na kubwa hutoka tofauti, yani hazichangamani.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>3. Mbio na kasi<\/strong><strong><\/strong><\/h2>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Mbuni anauwezo wa kukimbia kwa kasi ya kilomita 70 kwa saa, kasi kubwa kuliko ndege yoyote yule. Hivyo safari yake ya Dar kwenda Bagamoyo inaweza kumchukua saa moja tu. Hatua yake moja ni sawa na hatua tano za binadamu.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Anaweza kuwa na wastani wa kilo 50 kama mbuzi vile lakini pia ana uzito sawa na jumla ya kuku 20. Hii ni ndiyo sababu kuu kwanini mbuni hana uwezo wa kupaa.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Sasa utajiuliza, kwanini kuku ni mwepesi lakini hapai juu angani kama kunguru? Naomba huo uwe mjadala wa siku nyingine.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>4. Vidole<\/strong><\/h2>\n\n\n\n<div class=\"wp-block-media-text is-stacked-on-mobile\"><figure class=\"wp-block-media-text__media\"><img decoding=\"async\" width=\"1024\" height=\"672\" src=\"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-magda-ehlers-pexels-1201398-1024x672.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-2560 size-full\" srcset=\"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-magda-ehlers-pexels-1201398-1024x672.jpg 1024w, https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-magda-ehlers-pexels-1201398-300x197.jpg 300w, https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-magda-ehlers-pexels-1201398-768x504.jpg 768w, https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-magda-ehlers-pexels-1201398-1536x1008.jpg 1536w, https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-magda-ehlers-pexels-1201398-2048x1344.jpg 2048w\" sizes=\"(max-width: 1024px) 100vw, 1024px\" \/><\/figure><div class=\"wp-block-media-text__content\">\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Mbuni ana vidole viwili tu vya miguuni. Tofauti na ndege wengine wenye vidole vinne ambapo vitatu huangalia mbele na kimoja nyuma, mbuni ana vidole viwili kwenye mguu wake mmoja na vyote vinaangalia mbele.<\/p>\n<\/div><\/div>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>5. Kujihami<\/strong><\/h2>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Kwenye hatari, silaha kubwa ya mbuni huwa ni mateke yake, hurusha mateke ya mbele yenye uwezo wa kuua wanyama wakali kama fisi, chui hadi simba.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>6. Tabia za misimu<\/strong><\/h2>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Katika msimu wa masika mbuni hukaa peke yake ama akiwa na mpenzi wake. Katika msimu wa kiangazi, mbuni hukaa katika makundi ya mbuni wengi hadi 50. Wakati mwingine ndege hao hujichanganya na wanyama wengine kama pundamilia na swala.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>7. Mapenzi yao ni ya kipekee<\/strong><\/h2>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Katika kitengo hiki, mbuni ana utaratibu wa kipekee sana. Kwanza jogoo la mbuni hupiga mabawa yake kama anataka kupaa ikiwa ni ishara kwamba anatafuta mwenza.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Akishapata mwenza, wanaanza kutafuta malisho na anahakikisha anampeleka sehemu ambapo hakuna wanyama wengine na wanaendelea kutafuta malisho hapo huku wakizoeana tabia.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Baadaye jogoo la mbuni huanza tena kupiga mabawa kwa nguvu zaidi na kuzunguka akiwa ameyashusha na akiwa anadonoa udongo, ambapo jike la mbuni likishaona hizo ishara basi huchuchumaa na kurusu kupandwa.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>8. Yai la mbuni ni bonge la yai<\/strong><\/h2>\n\n\n\n<figure class=\"wp-block-image alignleft size-large is-resized\"><img decoding=\"async\" width=\"1024\" height=\"683\" src=\"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-dorota-semla-1929451-9096994-1024x683.jpg\" alt=\"\" class=\"wp-image-2559\" style=\"width:204px;height:auto\" srcset=\"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-dorota-semla-1929451-9096994-1024x683.jpg 1024w, https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-dorota-semla-1929451-9096994-300x200.jpg 300w, https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-dorota-semla-1929451-9096994-768x512.jpg 768w, https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-dorota-semla-1929451-9096994-1536x1024.jpg 1536w, https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-dorota-semla-1929451-9096994-2048x1365.jpg 2048w\" sizes=\"(max-width: 1024px) 100vw, 1024px\" \/><\/figure>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Mbuni zaidi ya mmoja huweza kutaga mayai yao kwenye tundu moja na kila mbuni ana uwezo wa kutofautisha mayai yake na ya mbuni wengine.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Yai la mbuni lina uzito wa zaidi ya kilo 1 na ukubwa sawa na nazi. Yai la mbuni bwana, unaweza kulikaangia viazi alimaarufu kwa <em>chipsi mayai <\/em>sahani kama tano hivi.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>9. Jike na dume wote huatamia mayai<\/strong><strong><\/strong><\/h2>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Jike la mbuni ana rangi ya kijivu na huatamia mayai mchana kwa sababu rangi yake hufanana na mchanga hivyo ni ngumu kuonekana, huku jogoo la mbuni lenye rangi nyeusi hutamia mayai usiku kwa sababu ni ngumu kuonekana gizani. Mayai ya mbuni huchukua siku 35 mpaka 45 kutotolewa.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>10. Jicho kubwa sana<\/strong><\/h2>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Jicho la mbuni linalingana na yai la kuku. Jicho la mbuni ni kubwa kuliko ubongo wake. Hivyo ana uwezo mkubwa sana wa kuona mbali na kwenye giza.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Mbuni ni mnyama asiyeonekana kirahisi kwa sababu idadi yao imepungua sana hivyo kuwaona ni mpaka mbugani, kwenye hifadhi au kwenye mashamba ya watu binafsi wanapofugwa.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Ukitaka kumuona mbuni basi tufunge safari moja kwa moja mpaka kwenye hifadhi za taifa za Serengeti, Mikumi, Ruaha au Katavi. Pia ukitembelea maeneo ya uhifadhi kama Selous na Ngorongoro utaweza pia kujionea mbuni.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>By Nasibu Mahinya Ukimshangaa mbuni asiyepaa utamstaajabu ngwini (pengwini); samaki asiyepaa mwenye uwezo wa kuogelea. Kawaida ukimkuta mbuni ndani ya hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro anavyovimba akiwa amejichanganya na pundamilia na nyumbu, wakitafuta malisho unaweza kusahau kuwa huyu ni ndege. Watu wengi wamekuwa wakimuona mbuni kama ndege wa kipekee na wa tofauti basi kama unaisoma hii makala utaweza kuujua utofauti kati ya mbuni na ndege wengine kupitia sifa zake 10. Twenzetu! 1. Muonekano Mbuni ndiyo ndege mrefu, mkubwa na mzito zaidi duniani. Ni mnyama mrefu kuliko wanyama wengine duniani. 2. Mfumo wa mmeng\u2019enyo wa chakula Mbuni ana matumbo matatu na ni ndege pekee ambaye haja zake ndogo na kubwa hutoka tofauti, yani hazichangamani. 3. Mbio na kasi Mbuni anauwezo wa kukimbia kwa kasi ya kilomita 70 kwa saa, kasi kubwa kuliko ndege yoyote yule. Hivyo safari yake ya Dar kwenda Bagamoyo inaweza kumchukua saa moja tu. Hatua yake moja ni sawa na hatua tano za binadamu. Anaweza kuwa na wastani wa kilo 50 kama mbuzi vile lakini pia ana uzito sawa na jumla ya kuku 20. Hii ni ndiyo sababu kuu kwanini mbuni hana uwezo wa kupaa.&nbsp; Sasa utajiuliza, kwanini kuku ni mwepesi lakini hapai juu angani kama kunguru? Naomba huo uwe mjadala wa siku nyingine. 4. Vidole Mbuni ana vidole viwili tu vya miguuni. Tofauti na ndege wengine wenye vidole vinne ambapo vitatu huangalia mbele na kimoja nyuma, mbuni ana vidole viwili kwenye mguu wake mmoja na vyote vinaangalia mbele. 5. Kujihami Kwenye hatari, silaha kubwa ya mbuni huwa ni mateke yake, hurusha mateke ya mbele yenye uwezo wa kuua wanyama wakali kama fisi, chui hadi simba. 6. Tabia za misimu Katika msimu wa masika mbuni hukaa peke yake ama akiwa na mpenzi wake. Katika msimu wa kiangazi, mbuni hukaa katika makundi ya mbuni wengi hadi 50. Wakati mwingine ndege hao hujichanganya na wanyama wengine kama pundamilia na swala. 7. Mapenzi yao ni ya kipekee Katika kitengo hiki, mbuni ana utaratibu wa kipekee sana. Kwanza jogoo la mbuni hupiga mabawa yake kama anataka kupaa ikiwa ni ishara kwamba anatafuta mwenza.&nbsp; Akishapata mwenza, wanaanza kutafuta malisho na anahakikisha anampeleka sehemu ambapo hakuna wanyama wengine na wanaendelea kutafuta malisho hapo huku wakizoeana tabia.&nbsp; Baadaye jogoo la mbuni huanza tena kupiga mabawa kwa nguvu zaidi na kuzunguka akiwa ameyashusha na akiwa anadonoa udongo, ambapo jike la mbuni likishaona hizo ishara basi huchuchumaa na kurusu kupandwa. 8. Yai la mbuni ni bonge la yai Mbuni zaidi ya mmoja huweza kutaga mayai yao kwenye tundu moja na kila mbuni ana uwezo wa kutofautisha mayai yake na ya mbuni wengine.&nbsp; Yai la mbuni lina uzito wa zaidi ya kilo 1 na ukubwa sawa na nazi. Yai la mbuni bwana, unaweza kulikaangia viazi alimaarufu kwa chipsi mayai sahani kama tano hivi. 9. Jike na dume wote huatamia mayai Jike la mbuni ana rangi ya kijivu na huatamia mayai mchana kwa sababu rangi yake hufanana na mchanga hivyo ni ngumu kuonekana, huku jogoo la mbuni lenye rangi nyeusi hutamia mayai usiku kwa sababu ni ngumu kuonekana gizani. Mayai ya mbuni huchukua siku 35 mpaka 45 kutotolewa. 10. Jicho kubwa sana Jicho la mbuni linalingana na yai la kuku. Jicho la mbuni ni kubwa kuliko ubongo wake. Hivyo ana uwezo mkubwa sana wa kuona mbali na kwenye giza. Mbuni ni mnyama asiyeonekana kirahisi kwa sababu idadi yao imepungua sana hivyo kuwaona ni mpaka mbugani, kwenye hifadhi au kwenye mashamba ya watu binafsi wanapofugwa. Ukitaka kumuona mbuni basi tufunge safari moja kwa moja mpaka kwenye hifadhi za taifa za Serengeti, Mikumi, Ruaha au Katavi. Pia ukitembelea maeneo ya uhifadhi kama Selous na Ngorongoro utaweza pia kujionea mbuni.<\/p>\n","protected":false},"author":3,"featured_media":2558,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_eb_attr":"","pagelayer_contact_templates":[],"_pagelayer_content":"","site-sidebar-layout":"default","site-content-layout":"","ast-site-content-layout":"default","site-content-style":"default","site-sidebar-style":"default","ast-global-header-display":"","ast-banner-title-visibility":"","ast-main-header-display":"","ast-hfb-above-header-display":"","ast-hfb-below-header-display":"","ast-hfb-mobile-header-display":"","site-post-title":"","ast-breadcrumbs-content":"","ast-featured-img":"","footer-sml-layout":"","ast-disable-related-posts":"","theme-transparent-header-meta":"","adv-header-id-meta":"","stick-header-meta":"","header-above-stick-meta":"","header-main-stick-meta":"","header-below-stick-meta":"","astra-migrate-meta-layouts":"default","ast-page-background-enabled":"default","ast-page-background-meta":{"desktop":{"background-color":"var(--ast-global-color-4)","background-image":"","background-repeat":"repeat","background-position":"center center","background-size":"auto","background-attachment":"scroll","background-type":"","background-media":"","overlay-type":"","overlay-color":"","overlay-opacity":"","overlay-gradient":""},"tablet":{"background-color":"","background-image":"","background-repeat":"repeat","background-position":"center center","background-size":"auto","background-attachment":"scroll","background-type":"","background-media":"","overlay-type":"","overlay-color":"","overlay-opacity":"","overlay-gradient":""},"mobile":{"background-color":"","background-image":"","background-repeat":"repeat","background-position":"center center","background-size":"auto","background-attachment":"scroll","background-type":"","background-media":"","overlay-type":"","overlay-color":"","overlay-opacity":"","overlay-gradient":""}},"ast-content-background-meta":{"desktop":{"background-color":"var(--ast-global-color-5)","background-image":"","background-repeat":"repeat","background-position":"center center","background-size":"auto","background-attachment":"scroll","background-type":"","background-media":"","overlay-type":"","overlay-color":"","overlay-opacity":"","overlay-gradient":""},"tablet":{"background-color":"var(--ast-global-color-5)","background-image":"","background-repeat":"repeat","background-position":"center center","background-size":"auto","background-attachment":"scroll","background-type":"","background-media":"","overlay-type":"","overlay-color":"","overlay-opacity":"","overlay-gradient":""},"mobile":{"background-color":"var(--ast-global-color-5)","background-image":"","background-repeat":"repeat","background-position":"center center","background-size":"auto","background-attachment":"scroll","background-type":"","background-media":"","overlay-type":"","overlay-color":"","overlay-opacity":"","overlay-gradient":""}},"iawp_total_views":179,"footnotes":""},"categories":[7,94],"tags":[101,97,98,13,103,99,102,100],"class_list":["post-2557","post","type-post","status-publish","format-standard","has-post-thumbnail","hentry","category-article","category-mind","tag-learning","tag-mbstrinitycare","tag-mbuni","tag-mind","tag-ndege-mkubwa","tag-ostrich","tag-porini","tag-ufahamu"],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v28.0 - https:\/\/yoast.com\/product\/yoast-seo-wordpress\/ -->\n<title>Sifa 10 za mbuni zinazomtofautisha na ndege wengine - MBS Trinity Care<\/title>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/en_gb\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_GB\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Sifa 10 za mbuni zinazomtofautisha na ndege wengine - MBS Trinity Care\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"By Nasibu Mahinya Ukimshangaa mbuni asiyepaa utamstaajabu ngwini (pengwini); samaki asiyepaa mwenye uwezo wa kuogelea. Kawaida ukimkuta mbuni ndani ya hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro anavyovimba akiwa amejichanganya na pundamilia na nyumbu, wakitafuta malisho unaweza kusahau kuwa huyu ni ndege. Watu wengi wamekuwa wakimuona mbuni kama ndege wa kipekee na wa tofauti basi kama unaisoma hii makala utaweza kuujua utofauti kati ya mbuni na ndege wengine kupitia sifa zake 10. Twenzetu! 1. Muonekano Mbuni ndiyo ndege mrefu, mkubwa na mzito zaidi duniani. Ni mnyama mrefu kuliko wanyama wengine duniani. 2. Mfumo wa mmeng\u2019enyo wa chakula Mbuni ana matumbo matatu na ni ndege pekee ambaye haja zake ndogo na kubwa hutoka tofauti, yani hazichangamani. 3. Mbio na kasi Mbuni anauwezo wa kukimbia kwa kasi ya kilomita 70 kwa saa, kasi kubwa kuliko ndege yoyote yule. Hivyo safari yake ya Dar kwenda Bagamoyo inaweza kumchukua saa moja tu. Hatua yake moja ni sawa na hatua tano za binadamu. Anaweza kuwa na wastani wa kilo 50 kama mbuzi vile lakini pia ana uzito sawa na jumla ya kuku 20. Hii ni ndiyo sababu kuu kwanini mbuni hana uwezo wa kupaa.&nbsp; Sasa utajiuliza, kwanini kuku ni mwepesi lakini hapai juu angani kama kunguru? Naomba huo uwe mjadala wa siku nyingine. 4. Vidole Mbuni ana vidole viwili tu vya miguuni. Tofauti na ndege wengine wenye vidole vinne ambapo vitatu huangalia mbele na kimoja nyuma, mbuni ana vidole viwili kwenye mguu wake mmoja na vyote vinaangalia mbele. 5. Kujihami Kwenye hatari, silaha kubwa ya mbuni huwa ni mateke yake, hurusha mateke ya mbele yenye uwezo wa kuua wanyama wakali kama fisi, chui hadi simba. 6. Tabia za misimu Katika msimu wa masika mbuni hukaa peke yake ama akiwa na mpenzi wake. Katika msimu wa kiangazi, mbuni hukaa katika makundi ya mbuni wengi hadi 50. Wakati mwingine ndege hao hujichanganya na wanyama wengine kama pundamilia na swala. 7. Mapenzi yao ni ya kipekee Katika kitengo hiki, mbuni ana utaratibu wa kipekee sana. Kwanza jogoo la mbuni hupiga mabawa yake kama anataka kupaa ikiwa ni ishara kwamba anatafuta mwenza.&nbsp; Akishapata mwenza, wanaanza kutafuta malisho na anahakikisha anampeleka sehemu ambapo hakuna wanyama wengine na wanaendelea kutafuta malisho hapo huku wakizoeana tabia.&nbsp; Baadaye jogoo la mbuni huanza tena kupiga mabawa kwa nguvu zaidi na kuzunguka akiwa ameyashusha na akiwa anadonoa udongo, ambapo jike la mbuni likishaona hizo ishara basi huchuchumaa na kurusu kupandwa. 8. Yai la mbuni ni bonge la yai Mbuni zaidi ya mmoja huweza kutaga mayai yao kwenye tundu moja na kila mbuni ana uwezo wa kutofautisha mayai yake na ya mbuni wengine.&nbsp; Yai la mbuni lina uzito wa zaidi ya kilo 1 na ukubwa sawa na nazi. Yai la mbuni bwana, unaweza kulikaangia viazi alimaarufu kwa chipsi mayai sahani kama tano hivi. 9. Jike na dume wote huatamia mayai Jike la mbuni ana rangi ya kijivu na huatamia mayai mchana kwa sababu rangi yake hufanana na mchanga hivyo ni ngumu kuonekana, huku jogoo la mbuni lenye rangi nyeusi hutamia mayai usiku kwa sababu ni ngumu kuonekana gizani. Mayai ya mbuni huchukua siku 35 mpaka 45 kutotolewa. 10. Jicho kubwa sana Jicho la mbuni linalingana na yai la kuku. Jicho la mbuni ni kubwa kuliko ubongo wake. Hivyo ana uwezo mkubwa sana wa kuona mbali na kwenye giza. Mbuni ni mnyama asiyeonekana kirahisi kwa sababu idadi yao imepungua sana hivyo kuwaona ni mpaka mbugani, kwenye hifadhi au kwenye mashamba ya watu binafsi wanapofugwa. Ukitaka kumuona mbuni basi tufunge safari moja kwa moja mpaka kwenye hifadhi za taifa za Serengeti, Mikumi, Ruaha au Katavi. Pia ukitembelea maeneo ya uhifadhi kama Selous na Ngorongoro utaweza pia kujionea mbuni.\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/en_gb\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"MBS Trinity Care\" \/>\n<meta property=\"article:publisher\" content=\"https:\/\/www.facebook.com\/mbstrinitycare\" \/>\n<meta property=\"article:published_time\" content=\"2024-10-08T10:08:03+00:00\" \/>\n<meta property=\"article:modified_time\" content=\"2024-11-06T12:55:26+00:00\" \/>\n<meta property=\"og:image\" content=\"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-pixabay-60692-scaled.jpg\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:width\" content=\"2560\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:height\" content=\"1392\" \/>\n\t<meta property=\"og:image:type\" content=\"image\/jpeg\" \/>\n<meta name=\"author\" content=\"MBS Editor\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Written by\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"MBS Editor\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:label2\" content=\"Estimated reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data2\" content=\"4 minutes\" \/>\n<script type=\"application\/ld+json\" class=\"yoast-schema-graph\">{\"@context\":\"https:\\\/\\\/schema.org\",\"@graph\":[{\"@type\":\"Article\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\\\/#article\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\\\/\"},\"author\":{\"name\":\"MBS Editor\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/#\\\/schema\\\/person\\\/450c8b2090d806f93d1f3861d3647f5e\"},\"headline\":\"Sifa 10 za mbuni zinazomtofautisha na ndege wengine\",\"datePublished\":\"2024-10-08T10:08:03+00:00\",\"dateModified\":\"2024-11-06T12:55:26+00:00\",\"mainEntityOfPage\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\\\/\"},\"wordCount\":592,\"commentCount\":0,\"publisher\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/#organization\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\\\/#primaryimage\"},\"thumbnailUrl\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/wp-content\\\/uploads\\\/2024\\\/10\\\/pexels-pixabay-60692-scaled.jpg\",\"keywords\":[\"learning\",\"mbstrinitycare\",\"mbuni\",\"Mind\",\"ndege mkubwa\",\"ostrich\",\"porini\",\"ufahamu\"],\"articleSection\":[\"Article\",\"Mind\"],\"inLanguage\":\"en-GB\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"CommentAction\",\"name\":\"Comment\",\"target\":[\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\\\/#respond\"]}]},{\"@type\":\"WebPage\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\\\/\",\"url\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\\\/\",\"name\":\"Sifa 10 za mbuni zinazomtofautisha na ndege wengine - MBS Trinity Care\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/#website\"},\"primaryImageOfPage\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\\\/#primaryimage\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\\\/#primaryimage\"},\"thumbnailUrl\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/wp-content\\\/uploads\\\/2024\\\/10\\\/pexels-pixabay-60692-scaled.jpg\",\"datePublished\":\"2024-10-08T10:08:03+00:00\",\"dateModified\":\"2024-11-06T12:55:26+00:00\",\"breadcrumb\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\\\/#breadcrumb\"},\"inLanguage\":\"en-GB\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"ReadAction\",\"target\":[\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\\\/\"]}]},{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-GB\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\\\/#primaryimage\",\"url\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/wp-content\\\/uploads\\\/2024\\\/10\\\/pexels-pixabay-60692-scaled.jpg\",\"contentUrl\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/wp-content\\\/uploads\\\/2024\\\/10\\\/pexels-pixabay-60692-scaled.jpg\",\"width\":2560,\"height\":1392},{\"@type\":\"BreadcrumbList\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\\\/#breadcrumb\",\"itemListElement\":[{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":1,\"name\":\"Home\",\"item\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":2,\"name\":\"Sifa 10 za mbuni zinazomtofautisha na ndege wengine\"}]},{\"@type\":\"WebSite\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/#website\",\"url\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/\",\"name\":\"MBS Trinity Care\",\"description\":\"Kindness is the greatest!\",\"publisher\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/#organization\"},\"potentialAction\":[{\"@type\":\"SearchAction\",\"target\":{\"@type\":\"EntryPoint\",\"urlTemplate\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/?s={search_term_string}\"},\"query-input\":{\"@type\":\"PropertyValueSpecification\",\"valueRequired\":true,\"valueName\":\"search_term_string\"}}],\"inLanguage\":\"en-GB\"},{\"@type\":\"Organization\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/#organization\",\"name\":\"MBS Trinity Care\",\"url\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/\",\"logo\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-GB\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/#\\\/schema\\\/logo\\\/image\\\/\",\"url\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/wp-content\\\/uploads\\\/2024\\\/04\\\/Logo-MBS-Trinity-Care-JPG-1.jpg\",\"contentUrl\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/wp-content\\\/uploads\\\/2024\\\/04\\\/Logo-MBS-Trinity-Care-JPG-1.jpg\",\"width\":2134,\"height\":2134,\"caption\":\"MBS Trinity Care\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/#\\\/schema\\\/logo\\\/image\\\/\"},\"sameAs\":[\"https:\\\/\\\/www.facebook.com\\\/mbstrinitycare\"]},{\"@type\":\"Person\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/#\\\/schema\\\/person\\\/450c8b2090d806f93d1f3861d3647f5e\",\"name\":\"MBS Editor\",\"image\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"en-GB\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/secure.gravatar.com\\\/avatar\\\/bb69c75a0a909cfac3b3fa62077711e317bdfa600fd0a39bd58febd0a11e42cd?s=96&d=mm&r=g\",\"url\":\"https:\\\/\\\/secure.gravatar.com\\\/avatar\\\/bb69c75a0a909cfac3b3fa62077711e317bdfa600fd0a39bd58febd0a11e42cd?s=96&d=mm&r=g\",\"contentUrl\":\"https:\\\/\\\/secure.gravatar.com\\\/avatar\\\/bb69c75a0a909cfac3b3fa62077711e317bdfa600fd0a39bd58febd0a11e42cd?s=96&d=mm&r=g\",\"caption\":\"MBS Editor\"},\"sameAs\":[\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/\"],\"url\":\"https:\\\/\\\/mbstrinitycare.or.tz\\\/en_gb\\\/author\\\/mbseditor\\\/\"}]}<\/script>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Sifa 10 za mbuni zinazomtofautisha na ndege wengine - MBS Trinity Care","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/en_gb\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/","og_locale":"en_GB","og_type":"article","og_title":"Sifa 10 za mbuni zinazomtofautisha na ndege wengine - MBS Trinity Care","og_description":"By Nasibu Mahinya Ukimshangaa mbuni asiyepaa utamstaajabu ngwini (pengwini); samaki asiyepaa mwenye uwezo wa kuogelea. Kawaida ukimkuta mbuni ndani ya hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro anavyovimba akiwa amejichanganya na pundamilia na nyumbu, wakitafuta malisho unaweza kusahau kuwa huyu ni ndege. Watu wengi wamekuwa wakimuona mbuni kama ndege wa kipekee na wa tofauti basi kama unaisoma hii makala utaweza kuujua utofauti kati ya mbuni na ndege wengine kupitia sifa zake 10. Twenzetu! 1. Muonekano Mbuni ndiyo ndege mrefu, mkubwa na mzito zaidi duniani. Ni mnyama mrefu kuliko wanyama wengine duniani. 2. Mfumo wa mmeng\u2019enyo wa chakula Mbuni ana matumbo matatu na ni ndege pekee ambaye haja zake ndogo na kubwa hutoka tofauti, yani hazichangamani. 3. Mbio na kasi Mbuni anauwezo wa kukimbia kwa kasi ya kilomita 70 kwa saa, kasi kubwa kuliko ndege yoyote yule. Hivyo safari yake ya Dar kwenda Bagamoyo inaweza kumchukua saa moja tu. Hatua yake moja ni sawa na hatua tano za binadamu. Anaweza kuwa na wastani wa kilo 50 kama mbuzi vile lakini pia ana uzito sawa na jumla ya kuku 20. Hii ni ndiyo sababu kuu kwanini mbuni hana uwezo wa kupaa.&nbsp; Sasa utajiuliza, kwanini kuku ni mwepesi lakini hapai juu angani kama kunguru? Naomba huo uwe mjadala wa siku nyingine. 4. Vidole Mbuni ana vidole viwili tu vya miguuni. Tofauti na ndege wengine wenye vidole vinne ambapo vitatu huangalia mbele na kimoja nyuma, mbuni ana vidole viwili kwenye mguu wake mmoja na vyote vinaangalia mbele. 5. Kujihami Kwenye hatari, silaha kubwa ya mbuni huwa ni mateke yake, hurusha mateke ya mbele yenye uwezo wa kuua wanyama wakali kama fisi, chui hadi simba. 6. Tabia za misimu Katika msimu wa masika mbuni hukaa peke yake ama akiwa na mpenzi wake. Katika msimu wa kiangazi, mbuni hukaa katika makundi ya mbuni wengi hadi 50. Wakati mwingine ndege hao hujichanganya na wanyama wengine kama pundamilia na swala. 7. Mapenzi yao ni ya kipekee Katika kitengo hiki, mbuni ana utaratibu wa kipekee sana. Kwanza jogoo la mbuni hupiga mabawa yake kama anataka kupaa ikiwa ni ishara kwamba anatafuta mwenza.&nbsp; Akishapata mwenza, wanaanza kutafuta malisho na anahakikisha anampeleka sehemu ambapo hakuna wanyama wengine na wanaendelea kutafuta malisho hapo huku wakizoeana tabia.&nbsp; Baadaye jogoo la mbuni huanza tena kupiga mabawa kwa nguvu zaidi na kuzunguka akiwa ameyashusha na akiwa anadonoa udongo, ambapo jike la mbuni likishaona hizo ishara basi huchuchumaa na kurusu kupandwa. 8. Yai la mbuni ni bonge la yai Mbuni zaidi ya mmoja huweza kutaga mayai yao kwenye tundu moja na kila mbuni ana uwezo wa kutofautisha mayai yake na ya mbuni wengine.&nbsp; Yai la mbuni lina uzito wa zaidi ya kilo 1 na ukubwa sawa na nazi. Yai la mbuni bwana, unaweza kulikaangia viazi alimaarufu kwa chipsi mayai sahani kama tano hivi. 9. Jike na dume wote huatamia mayai Jike la mbuni ana rangi ya kijivu na huatamia mayai mchana kwa sababu rangi yake hufanana na mchanga hivyo ni ngumu kuonekana, huku jogoo la mbuni lenye rangi nyeusi hutamia mayai usiku kwa sababu ni ngumu kuonekana gizani. Mayai ya mbuni huchukua siku 35 mpaka 45 kutotolewa. 10. Jicho kubwa sana Jicho la mbuni linalingana na yai la kuku. Jicho la mbuni ni kubwa kuliko ubongo wake. Hivyo ana uwezo mkubwa sana wa kuona mbali na kwenye giza. Mbuni ni mnyama asiyeonekana kirahisi kwa sababu idadi yao imepungua sana hivyo kuwaona ni mpaka mbugani, kwenye hifadhi au kwenye mashamba ya watu binafsi wanapofugwa. Ukitaka kumuona mbuni basi tufunge safari moja kwa moja mpaka kwenye hifadhi za taifa za Serengeti, Mikumi, Ruaha au Katavi. Pia ukitembelea maeneo ya uhifadhi kama Selous na Ngorongoro utaweza pia kujionea mbuni.","og_url":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/en_gb\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/","og_site_name":"MBS Trinity Care","article_publisher":"https:\/\/www.facebook.com\/mbstrinitycare","article_published_time":"2024-10-08T10:08:03+00:00","article_modified_time":"2024-11-06T12:55:26+00:00","og_image":[{"width":2560,"height":1392,"url":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-pixabay-60692-scaled.jpg","type":"image\/jpeg"}],"author":"MBS Editor","twitter_card":"summary_large_image","twitter_misc":{"Written by":"MBS Editor","Estimated reading time":"4 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"Article","@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/#article","isPartOf":{"@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/"},"author":{"name":"MBS Editor","@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/#\/schema\/person\/450c8b2090d806f93d1f3861d3647f5e"},"headline":"Sifa 10 za mbuni zinazomtofautisha na ndege wengine","datePublished":"2024-10-08T10:08:03+00:00","dateModified":"2024-11-06T12:55:26+00:00","mainEntityOfPage":{"@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/"},"wordCount":592,"commentCount":0,"publisher":{"@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/#organization"},"image":{"@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/#primaryimage"},"thumbnailUrl":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-pixabay-60692-scaled.jpg","keywords":["learning","mbstrinitycare","mbuni","Mind","ndege mkubwa","ostrich","porini","ufahamu"],"articleSection":["Article","Mind"],"inLanguage":"en-GB","potentialAction":[{"@type":"CommentAction","name":"Comment","target":["https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/#respond"]}]},{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/","url":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/","name":"Sifa 10 za mbuni zinazomtofautisha na ndege wengine - MBS Trinity Care","isPartOf":{"@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/#website"},"primaryImageOfPage":{"@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/#primaryimage"},"image":{"@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/#primaryimage"},"thumbnailUrl":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-pixabay-60692-scaled.jpg","datePublished":"2024-10-08T10:08:03+00:00","dateModified":"2024-11-06T12:55:26+00:00","breadcrumb":{"@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/#breadcrumb"},"inLanguage":"en-GB","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/"]}]},{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-GB","@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/#primaryimage","url":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-pixabay-60692-scaled.jpg","contentUrl":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/10\/pexels-pixabay-60692-scaled.jpg","width":2560,"height":1392},{"@type":"BreadcrumbList","@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/sifa-10-za-mbuni-zinazomtofautisha-na-ndege-wengine\/#breadcrumb","itemListElement":[{"@type":"ListItem","position":1,"name":"Home","item":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/"},{"@type":"ListItem","position":2,"name":"Sifa 10 za mbuni zinazomtofautisha na ndege wengine"}]},{"@type":"WebSite","@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/#website","url":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/","name":"MBS Trinity Care","description":"Kindness is the greatest!","publisher":{"@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/#organization"},"potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/?s={search_term_string}"},"query-input":{"@type":"PropertyValueSpecification","valueRequired":true,"valueName":"search_term_string"}}],"inLanguage":"en-GB"},{"@type":"Organization","@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/#organization","name":"MBS Trinity Care","url":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/","logo":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-GB","@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/#\/schema\/logo\/image\/","url":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/04\/Logo-MBS-Trinity-Care-JPG-1.jpg","contentUrl":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/wp-content\/uploads\/2024\/04\/Logo-MBS-Trinity-Care-JPG-1.jpg","width":2134,"height":2134,"caption":"MBS Trinity Care"},"image":{"@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/#\/schema\/logo\/image\/"},"sameAs":["https:\/\/www.facebook.com\/mbstrinitycare"]},{"@type":"Person","@id":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/#\/schema\/person\/450c8b2090d806f93d1f3861d3647f5e","name":"MBS Editor","image":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"en-GB","@id":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/bb69c75a0a909cfac3b3fa62077711e317bdfa600fd0a39bd58febd0a11e42cd?s=96&d=mm&r=g","url":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/bb69c75a0a909cfac3b3fa62077711e317bdfa600fd0a39bd58febd0a11e42cd?s=96&d=mm&r=g","contentUrl":"https:\/\/secure.gravatar.com\/avatar\/bb69c75a0a909cfac3b3fa62077711e317bdfa600fd0a39bd58febd0a11e42cd?s=96&d=mm&r=g","caption":"MBS Editor"},"sameAs":["https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/"],"url":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/en_gb\/author\/mbseditor\/"}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/en_gb\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2557","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/en_gb\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/en_gb\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/en_gb\/wp-json\/wp\/v2\/users\/3"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/en_gb\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2557"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/en_gb\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2557\/revisions"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/en_gb\/wp-json\/wp\/v2\/media\/2558"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/en_gb\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2557"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/en_gb\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2557"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/mbstrinitycare.or.tz\/en_gb\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2557"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}